Saturday 2 August 2014

FORM SIX 2014:UKWELI KUHUSU VIWANGO VYA UFAULU HUU HAPA,DIVISION I-7 MWAKA HUU NI SAWASAWA NA DIVISION II YA MWAKA JANA.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kama kawaida yetu blog hii pendwa ya maswayetu inakuletea mchanganuo wa viwango vya ufaulu mwaka huu kwa matokeo kidato cha sita   2014.
Lengo la serikali hii ni kutaka kumfanya kila mwanafunzi afanyapo mtihani basi matokeo yakitoka ajione amefaulu.
Uhalisia ni kwamba mwaka jana mtu kwa mfano ukipata DIV III-13 wewe ni mtata kwelikweli lakini leo hii mtu ana division III-13 anakuwa na mawazo ya kusoma medicine.
Kiukweli wadogo zangu maisha hayapo hivyo na ifuatayo chini ndio reality ya viwango vya ufaulu ukicompare na miaka iliyopita.

2014
2013-MIAKA YA NYUMA

DIVISION I-7

DIVISION II-12

DIVISION II-8

DIVISION III-13

DIVISION II-9

DIVISION III-14

DIVISION III-10

DIVISION III-15

DIVISION III-11

DIVISION III-16

DIVISION III-12

DIVISION III-17

DIVISION III-13

DIVISION IV 18


NOTE:kuanzia div I-6,5,4,3 hawajalinganishwa na maksi zozote zile kwa kifupi they are exceptional to above table.
Huu hapo juu ni mtizamo wangu tu na kutokana na maksi zilivyowekwa mwaka huu zinamfanya mtu aliye na div 4 awe ana sifa za kwenda chuo kikuu,swali linakuja je atachaguliwa??
“NI MTAZAMO TU”-wako INNOCENT THE BLOGGER BOY-MASWAYETU BLOG OWNER!,
  contact-0768260834
 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger