Monday 4 August 2014

JENGO LA BODI YA MIKOPO LILILO MAENEO YA MWENGE LAWAKA MOTO,JE KUNA USALAM WA FEDHA ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU?

...
    INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                        
 
Taarifa zilizo tufikia hivi punde zinadai jengo jipya la bodi ya mikopo lililo maeneo ya Mwenge jjini Dar es salaam limewaka moto, taarifa hiyo inasema wafanyakazi wa Zima moto walijaribu kuuzima moto huo ambao umeshaunguza baadhi ya vyumba vya maofisi. 
Wanafunzi wa elimu ya juu hasa hawa walioomba vyuo mwaka huu 2014/2015 wameshtushwa na taarifa hii kwani wanahofia  uwezekano pia wa kupotea kwa documnts zao ambazo walikuwa wameshaomba  mkopo.
Maswali mengi pia yamejitokeza miongoni mwa wanafunzi ambao sasa wapo katika taasisi mbalimbali kwa ajili ya field kwamba isije ikawa ni janja ya serikali kukuwalipa pesa zao za mafunzo kwa vitendo.
 
Hadi sasa hakuna taarifa kamili juu ya mali iloungua hivyo baso tunakuomba uendelee kutembelea maswayetu blog kwa habari zaidi na kila kitakachokuwa kinatokea.
 ASANTE KWA KUTEMBELA MASWAYETU BLOG
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger