Saturday 12 July 2014

PICHA ZIKIMWONESHA JINI KABULA NA VIMINI RAMADHANI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

STAA wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini Kabula’ amecharuka baada ya kukosolewa juu ya mavazi ya mitego, vimini, anayovaa ndani ya mwezi wa Ramadhani.

Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini Kabula’
Baada ya majirani wanaofunga kufikisha malalamiko, paparazi wetu alimvutia waya Jini Kabula na kumsomea mashtaka hayo ambapo alisema kuwa alikuwa lokesheni siku waliyomuona lakini pia hahofii sana kwani mwezi huo haumuhusu.
“Hao wanaweka chumvi tu mimi sikuwepo huko mtaani nilikuwa lokesheni tangu mwezi uanze, na hata kama nitavaa nguo za ajabu, mwezi huu haunihusu nitavaa vyovyote nipendavyo,” alisema Jini Kabula.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger