Tuesday 29 July 2014

MH.KAWAMBWA,JENISTA MHAGAMA,MAJALIWA,MH RAIS KIKWETE TAFADHALI INGILIENI KATI SUALA LA PESA YA FIELD ,WANAFUNZI WANA WIKI TYA TANO HAWAJUI WAPI PA KULA,KULALA WANAISHIA KUKACHA VIPINDI,KWANI “PESA YA FIELD N BOMU LITAKALOLIPUKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA” NAWAOMBA MUWALIPE WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU inayokupa habari mbalimbali zitokeazo hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Leo napenda kuzungummzia suala la kuchelewa kwa pesa ya field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 2014/2015;

Kwanza kabisa napenda kuishauri serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa inajipa wakati mgumu kuja kuzima bomu litakalolipuka mda wowote,bomu hilo linahusu kutokuwalipa wanafunzi wa mwaka huu pesa yao ya field.


Hivyo basi Mh.Shukuru kawambwa ukiwa kama waziri unaeshughulikia elimu Tunakuomba uingilie kati suala hili kwani hali ni mbaya kwa wanafunzi waliopo field na wiki ya tano wakati huohuo hakuna pesa yoyote waliyiopewa na bodi ya mikopo huku kila siku wakiishia kukopa na maisha akuwa magumu Zaidi.
Tafadhali vyuo vyote; 

SUA,UDSM,SAUT,DIT,MUHIMBILI,BUGANDO,MAKUMIRA,TUMAINI nk. Nwaomba tushirikiane kwa pamoja kuhihimiza serikali hii iweke pesa ya field kwa wanafunzi wa  vyuo vikuu.HALI NI MBAYA.

Ewe mwanafunzi mzalendo uliesubiri pesa ya field kwa hamu na shauku na kuomba tuma sms kwenda namba +255768260834 direct zitawafikia walengwa kuhusu pesa ya field.(toa comment yoyote).
Wako INNOCENT-THE BLOGGER-BOY! “TUPO PAMOJA” 
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger