Monday 14 July 2014

MKE WA WA RIDHIWAN AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE‏

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Bi. Halima Hassan katika kijiji cha Changarikwa jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa kijiji cha Kwaruhombo Kata ya Mbwewe jana baada ya kuwakabidhi zawadi ya Tende,Wa pili kutoka kushoto ni rehema Zando Diwani viti maalum Bagamoyo.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi hizo, baadhi ni viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
Mzee Said Khamis Mnyika kushoto na Mzee Ahmad Ramadhan wa kijiji cha Changarikwa wakiwa na zawadi zao mara baada ya kupokea kutoka kwa Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akipanga vifaa mbalimbali kwenye ofisi ya CCM kata ya Mbwewe kabla ya kuvikabidhi kwa familia za watu wenye mahitaji muhimu jana.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Bw. Abdulrahman Juma wa Mbwewe.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi zawadi hizo Mlemavu Halia Saleh.
Baadhi ya akina mama wakiwa na zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi aliowakabidhi zawadi, wengine ni baadhi ya viongozi wa kata hiyo na wilaya ya Bagamoyo.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza mmoja wa akina mama waliopokea zawadi hizo wakati alipokuwa akitoa shukurani zake kwa Mh. Mbunge Ridhiwani Kikwete.
Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akihojiwa na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya kukamilisha kazi ya kugawa zawadi hizo kwa baadhi ya familia zinazoisi katika mazingira magumu
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger