“Namshangaa mama Kanumba…
BABA
wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba,
Charles Kanumba ameibuka na kumtaka mama Kanumba, Flora Mtegoa kuacha
tabia ya kuombaomba michango mbalimbali.
Baba wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba.“Namshangaa mama Kanumba ni njaa gani hiyo, naomba aache kudhalilisha ukoo wa Kanumba kwani anatumia jina hilo kuombaomba, anahangaika bila sababu za msingi wakati sisi tuko vizuri,” alisema Baba Kanumba.
0 comments:
Post a Comment