Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.
Akizungumzia
kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu
alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa,
Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na Said
Issah
“Tulikuwa
kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichojumuisha wajumbe na wabunge kwa
ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya chama. Jumla ya wajumbe walikuwa
170. Tukiwa kwenye kiako walikuja watu wanasema tunatakiwa polisi kwa
sababu tumekiuka agizo la lilitokataza mikutano.”
0 comments:
Post a Comment