Mbunge wa
jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa wa nne kulia akikagua nguzo za umeme
ambazo zimeanza kushushwa kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini kama
alivyoahidi wakati wa kampeni zake ni takribani miezi miwili sasa
utekelezaji umeanza
Hizi ni nguzo za umeme ambazo zimeshushwa kijiji cha Mgama kwa ajili ya mradi wa umeme
Mbunge wa
jimbo la kalenga akizungumza na wananchi wa Mgama baada ya kutembelea
kijiji hicho na kujionea utekelezaji wa ilani ya CCM na ahadi yake ya
kuwaahidi umeme wa uhakika wananchi hao(Martha Magessa)
CHANZO:FRANCIS GODWIN
0 comments:
Post a Comment