
Kamishna
wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akimkaribisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Uwanja wa
Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, leo
Julai 5, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Magereza, Sania Kigwe.




Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiangalia kiatu aina ya Buti ambacho kimetengenezwa katika Kiwanda cha
Gereza Karanga Moshi, Kiwanda hicho kinamilikiwa na Jeshi la Magereza.
Rais Kikwete ametembelea Banda hilo leo Julai 5, 2014 katika Maonesho
ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Jijini, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment