

Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.
Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment