INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa yafanya uchaguzi wa wanafunzi kidato cha tano awamu ya pili 2014/2015,hii inawahusu vijana 16,000 waliokosa nafasi za kujiunga...
Thursday, 31 July 2014
HADI MWANAFUNZI ALIESOMA" PCB" 2014 -MWENYE DIVISION 4 ANA SIFA ZA KWENDA CHUO KIKUU NA KUZOMMEA MEDICINE,HII INAKUINGIA AKILINI?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,kwanza kabisa napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wadau wa blog hii na watembeleaji bora wa matandao huu unaowapa raha kila siku kwa kuleta vitu vipya vipya.
Leo napenda kuzungummmzia utaratibu wa TCU katika udahili w awanafunzi mwaka huu,Tcu wamesema kuwa kama ulikuwa kwa mafano na CCD mwaka huu basi...
Wednesday, 30 July 2014
TAARIFA MUHIMU KWA FORM SIX WOTE 2014:JINSI YA KUJUA KAMA UPO ELIGIBLE AU NOT ELIGIBLE KWA MNAOFANYA APPLICATION TCU
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu Kwa mara nyingine tena;
Napenda kutoa elimu ndogo san na muhimu kuijua kwani nahisi kati ya waliokuwa kumi bora kujua hiki kitu wakati nilipokuwa nafanya application ya TCU miaka michache iliyopita.
Ukimaliza kuchagua kozi zako kwa kujaza CODE za vyuo...
FORM SIX KAMA ULISOMA KATI YA COMBINATION HIZI PCB,PCM,PGM,HKL,HGL,EGM &CBG HII INAKUSU,SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU leo kwa mara nyingine napenda kuwashauri kidato cha sita juu ya kozi za kujaza endapo utahitaji ajira za moja kwa moja utakapomaliza chuo;
Kwa waliosoma ;
1.PCB
-kama ulisoma PCB na unaufaulu mzuri namaanisha kozi tajwa hapo chini zinaushindani katika admission hivyo basi kwa mafano MEDICINE wanataka Pts 5 hivyo basi jitahidi uwe...
Tuesday, 29 July 2014
VIONGOZI WA IMTU WATINGA MAHAKAMANI, DPP AWAONDOLEA MASHTAKA, NI KATIKA SAKATA LA VIUNGO VYA BINADAMU.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkurugenzi
wa Mashitaka Nchini (DPP), aliwapandisha kizimbani vigogo wanne wa Chuo
Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) na...
MH.KAWAMBWA,JENISTA MHAGAMA,MAJALIWA,MH RAIS KIKWETE TAFADHALI INGILIENI KATI SUALA LA PESA YA FIELD ,WANAFUNZI WANA WIKI TYA TANO HAWAJUI WAPI PA KULA,KULALA WANAISHIA KUKACHA VIPINDI,KWANI “PESA YA FIELD N BOMU LITAKALOLIPUKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA” NAWAOMBA MUWALIPE WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya
MASWAYETU inayokupa habari mbalimbali zitokeazo hapa Tanzania na Duniani kwa
ujumla.
Leo napenda kuzungummzia suala la kuchelewa
kwa pesa ya field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 2014/2015;
Kwanza kabisa napenda kuishauri serikali ya
jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwa inajipa wakati mgumu kuja kuzima bomu
litakalolipuka...
Monday, 28 July 2014
MKE WA MBUNGE KUUA HOUSE GIRL_MBUNGE CYRIL ATOA UFAFANUZI ,SOMA HAPA MKASA MZIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mimi
Dr Cyril August Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) napenda kueleza
masikitiko yangu kwa taarifa za uzushi na za kutunga kuwa eti mke wangu
asiye na jina amemuua mfanyakazi wetu Mwislamu kwa sababu "marehemu" alikataa kwenda kanisani.Mimi
...
Sunday, 27 July 2014
ELIMU YA BURE JINSI WANAVYO HESABU CUTT OF POINT ZA MASOMO YAKO KATIKA UCHAGUZI WA KOZI MBALIMBALI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blo hii ya maswayetu blog,log pendwa ndani na nje ya nchi,Leo ninaleta mada fupi katika uhesabuji wa cutt of point katika uchaguzi wa kozi mbalimbali za vyuo vikuu.
Kwanza kabisa kabla kuanza kutoa elimu hiyo hapa napenda kuwapa pole na pongezi vijana wa kidato cha sita waliokuwapo jeshini kwa kupewa wiki moja ya kurudi nyumbani kufanya application...
MAJINA YA WALIMU DIPLOMA YALIOONGEZWA KWENDA JKT KAMBI YA MAKUTUPORA NA MGAMBO JKT SEPTEMBER 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG ,Kutokana na jeshi la kujenga taifa kutangaza majina ya walimu wanaotakiwa kuripoti jkt september 2014,Blog hii iliweka list hiyo ya walimu na vikosi walivyopangwa kutoka website ya JKT lakini katika kufatilia zaidi tumegundua kuwa kuna ongezeko la majina ya walimu katika kambi tajwa hapo juu.
BUROMBOLA...
Saturday, 26 July 2014
UBORA WA VYUO VIKUU MBALIMBALI NA KOZI NZURI ZITOLEWAZO NA VYUO HIVYO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA
YA YOTE NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO
VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA
INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO
LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS...
Friday, 25 July 2014
KIJANA AMBAAE KINARA WA KUBAKA,KULAWITI NA KUTOBOA MACHO WATOTO SHINYANGA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kushoto ni kijana aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka,kulawiti na kutoboa macho wato...
Thursday, 24 July 2014
SCHOLARSHIP:MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ANGALIA HAPA NAFASI YA SCHOLARSHIP KWENDA KUSOMA NCHINI MAURTIUS,NITASAIDIA KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUFANYA APPLICATION TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBA +255768260834,SIFA UWE NA DIVISION I or II.
MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014 (Re-Advertised)...
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU (UDS,SUA,UDOM,SAUT ) WAKOSA IMANI NA SERIKALI YA TANZANIA,WALILIA PESA YAO YA FIELD,HII NI WIKI YA 5 HAWAJAPATA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali...
AJALI YA FUSO KISHAPU: WAKIENDA MNADANI HUKO KISHAPU SASA NI WATATU,MAJERUHI 46, WENGI NI WAFANYABIASHARA ,KAMANDA WA POLISI MKOA JUSTUS KAMUGISHA AZUNGUMZIA AJALI HIYO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAC Justus Kamugisha akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo mcha...
MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU TOKA SEKRETARIETI YA AJIRA DAR,NI MUHIMU SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAJIBU YA MASWALI YA WADAU MEI-JULAI 2014
MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU
Awali
ya yote Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda
kuwashukuru...
Wednesday, 23 July 2014
KUELEKEA UCHAGUZI 2015:: VIJANA WAAMUA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE, HUYU NI MMOJA WAO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA
Katika kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na
Rais Hapo Mwakani (2015). Inaonesha vijana wamedhamiria kufanya mapinduzi na kuvunja
ukimya katika kunyakua nyadhifa muhimu katika vyama vya Siasa ikiwa ni tofauti
na hapo awali kwamba ilizoeleka ni wazee peke yao tena wale wastaafu kutoka
serikalini...
Monday, 21 July 2014
TANGAZO MUHIMU TOKA NACTE: Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe
ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi
(Ordinary Diploma in Primary Education (ODPE)) katika vyuo teule vya
majaribio na Stashahada...
BREAKING NEWS:BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU
Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu
Watu watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya Basi la AM Coach lililokuwa linatokea katika...