Habari zenu wadau wa BLOG PENDWA YA MASWAYETU
,namshukuru allah kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya leo tena.
Mada ambayo napenda kuiongelea hapa ni
kuhusu vijana wote waliokosa nafasi za kuchaguliwa kujiunga na kidato
cha tano july 2015,lakini wanasifa za kujiunga na kidato cha tano,Basi
kama wewe au ndugu yako ni mmoja wapo fanya yafuatayo kwa kuangalia lipi
linakufaa kwa sasa;
1.SUBIRI SECOND SELECTION Endapo bado una nia ya kwenda kidato cha tano na umefaulu vizuri,mara nyingi serikali yetu imekuwa sikivu katika kuhakikisha kuwa kila kijana aliefaulu anachaguliwa kujiunga kidato cha tano,huwa inatoa second selection kwa wanafunzi wwenye sifa za kujiunga na kidato cha tano,kwa hiyo kama wewe GPA YAKO ni kuanzia 1.6 na unahamu na kidato cha tano tafadhali subiri utachaguliwa. NOTE:usibweteke na kusubiri tu hizo second selection fanya yafuatayo kwani kidato cha TANO sio maisha ,maisha ni popote pale,basi fanya yafuatayo;
2.APPLY UALIMU KUPITIA NACTE Nacte inahusika na vyuo vya ualimu kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe ualimu haraka kwani deadline ni tarehe 17.7.2015,Kama una sifa zifuatazo omba ualimu fasta.
EDUCATION PROGRAMS The Ministry of Education and Vocational Training in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform the public that Central Admission System (CAS) is now open for new applicants into Teacher Training Institutions for academic year 2015/2016. Minimum Entry Requirements:
3.APPLY KOZI ZA AFYA KUPITIA NACTE Nacte inahusika na vyuo vya vya afya kama ilivyo kwa ualimu kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe afya haraka kwani deadline ni tarehe 17.7.2015,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka. HEALTH PROGRAMS
The National Council for Technical Education (NACTE) in collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare would like to inform the public that Central Admission System (CAS) is now open for new applicants into Health Training Institutions for academic year 2015/2016. Minimum Entry Requirements:
4.OMBA VYUO VYA KILIMO NA MIFUGO Wizara ya mifugo inahusika na vyuo vya vya kilimo na mifugo kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe ,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka.
5.APPLY SPECIAL PROGRAMME UDOM
MWISHO:
Endapo utaufanyia kazi ushauri wangu nina imani kubwa malengo yako yatafanikiwa mbele kwa mbele,nakutakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Wako,
INNOCENT THE BLOGGER BOY-founder of maswayetu blog
you can contact me through:innocentlugano60@gmail.com

- Ordinary Diploma (Pre Service): Division I – III OR GPA of 1.6 in O’Level
- Ordinary Diploma (In Service): Grade IIIA Certificate
- Higher Diploma: Two (2) principle passes in A’Level or Ordinary Diploma (NTA 6).
- Ordinary Diploma in Laboratory Technology: Passes (D) in Physics, Chemistry, Biology and Mathematics
3.APPLY KOZI ZA AFYA KUPITIA NACTE Nacte inahusika na vyuo vya vya afya kama ilivyo kwa ualimu kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe afya haraka kwani deadline ni tarehe 17.7.2015,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka. HEALTH PROGRAMS
The National Council for Technical Education (NACTE) in collaboration with the Ministry of Health and Social Welfare would like to inform the public that Central Admission System (CAS) is now open for new applicants into Health Training Institutions for academic year 2015/2016. Minimum Entry Requirements:
- Ordinary Diploma: Physics/Engineering Science – D, Chemistry – C, Biology – C in O’level.
- Technician Certificate: Physics/Engineering Science – D, Chemistry – D, Biology – D in O’level.
- Upgrading/Higher/Advanced Diploma: Biology – D in O’level, work experience of two (2) years and above, passport size picture, Technician Certificate or Ordinary Diploma Certificate and Transcript in the field aspired and a letter of permission from employer. Nursing applicants should attach a copy of their license to practice.
4.OMBA VYUO VYA KILIMO NA MIFUGO Wizara ya mifugo inahusika na vyuo vya vya kilimo na mifugo kwa ngazi ya diploma na kushuka chini,basi naomba ufanye hima uombe ,Kama una sifa zifuatazo omba kozi za afya haraka.
1.
Sifa za mwombaji
i) Stashahada (Diploma – DAHP,
DRMTC, DCVLT) - Miaka miwili (2) kwa wanachuo
waliomaliza kidato cha sita na mwaka mmoja (1) kwa wanachuo waliomaliza cheti
kwa mfumo wa Semesta
Awe amemaliza elimu ya
Kidato cha Sita kufaulu masomo matatu ya Sayansi kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia,
Hisabati, Jiografia, Sayansi kimu na Kilimo. Kiwango cha chini cha ufaulu
kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha subsidiaries mbili kwenye masomo
ya sayansi. AU
·
Awe amemaliza mafunzo ya Astashahada (Certificate) katika fani ya Animal
Health and Production (AHPC), Agrovet
au Certificate in Agriculture and
Livestock Production (CALP) ambayo ni sawa na NTA Level 5 kwenye vyuo
vilivyosajiliwa na NACTE.
ii) Astashahada (Certificate – CAHP, CVLT) – Miaka
miwili (2)
·
Awe amemaliza Kidato cha Nne na kufaulu masomo matatu ya sayansi
kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati, jiografia na Kilimo. Kiwango cha
chini cha ufaulu kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha alama ya D kwenye masomo matatu ya sayansi.
·
iii) Stashahada
Maalum ya Teknolojia ya Maziwa (SDDT) – Miezi sita (6)
·
Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Stashahada katika fani
zifuatazo: Uzalishaji wa Mifugo (DAP), Afya ya Mifugo (DAH) na Afya na
Uzalishaji wa Mifugo (DAHP).
·
Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Shahada katika fani zifuatazo:
Sayansi ya Wanyama, Afya ya Mifugo, Teknolojia na Usindikaji wa vyakula
2. Masharti ya
Uombaji
·
Mwombaji atume fomu za maombi ya kozi anayotaka kusomea kwa kujaza fomu akiambatanisha nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu,
pamoja na cheti cha kuzaliwa.
·
Fomu inapatikana kwenye Kampasi zetu, vituo vyetu vyote na Tuvuti
ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz /organization
/Agencies/LITA
·
Fomu irudishwe na Bank
pay-in slip ya Tshs 20,000/= iliyolipwa kwenye LITA Revenue
Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142
·
Fomu zote zitumwe Makao Makuu ya Wakala na siyo kwenye Kampasi za
Mafunzo kwa kutumia anuani ya hapo chini.
3. Gharama za
Mafunzo
Gharama za mafunzo zimeonyeshwa
kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye Kampasi, vituo vya
Wakala na tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz /organization
/Agencies/LITA
4. Mwisho wa
kupokea maombi
Mwisho wa kupokea fomu za kujiunga na masomo ni tarehe 15/07/2015.
5.APPLY SPECIAL PROGRAMME UDOM
MWISHO:
Endapo utaufanyia kazi ushauri wangu nina imani kubwa malengo yako yatafanikiwa mbele kwa mbele,nakutakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Wako,
INNOCENT THE BLOGGER BOY-founder of maswayetu blog
you can contact me through:innocentlugano60@gmail.com
0 comments:
Post a Comment