Sunday 12 July 2015

MKUTANO MKUU WA CCM UMEHAIRISHWA HADI KESHO SAA 4 ASUBUHI

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuahirishwa kwa mkutano  mkuu  wa  CCM  hadi  kesho  saa  nne  asubuhi  ambapo  mgombea  rasmi  wa  chama  cha  mapinduzi  atatangazwa  baada  ya  kura  za  wajumbe  kuhesabiwa. Zoezi  la  upigaji  kura  limemalizika  muda  mfupi  uliopita.

Waliopigiwa  kura  na  mkutano  mkuu  usiku  huu ni  wale  waliofanikiwa  kuingia  3  bora  ambao  ni  Magufuli, Amina  Salum  na  Asharose  Migiro...

Nani  ataibuka  kidedea??.....Majibu  yote ni  kesho  saa  nne  asubuhi
TAFADHALI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YETU YA TANGAYETU NA MASWAYETU BLOG KWA HABARI MBALIMBALI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger