Friday 10 July 2015

NAPE ATOA TAARIFA KUHUSU MAJINA TANO BORA URAIS CCM 2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Hadi mda huu tukiwa hapa mjini dodoma ni kwamba kikao
kimeisha na wanakamati wametoka ,Nape nnauye ametoa taarifa kwamba Tukapumzike tufike kesho mapema asubuhi ili tupewe taarifa walioyajadili.

Kwa mujibu wa NAPE ni kwamba  kikao cha KAMATI KUU (CC) bado kinaendelea. Tungependa kuwa taarifu kwamba kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimeahirishwa hadi kesho tarehe 11.7.2015 saa 4 asubuhi. #KaribuDodoma USHINDI NI UMOJA!

ENDELEA KUTEMBELEA MASWAYETU BLOG KWA TAARIFA ZAIDI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger