Saturday 11 July 2015

WAZIRI MEMBE AJIBU TUHUMA KUHUSU MTU ALIEKAMATWA NA PESA DODOMA,NA KUDAIWA NI ZAKE

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
bernard-membe-1
Kuna stori zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae
amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo >>> “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“
Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi >>>”siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu” >>> @
CHANZO::MILLARDAYO
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger