Saturday 11 July 2015

VIDEO:MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU MJINI DODOMA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.
DOWNLOAD VIDEO
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger