Saturday 11 July 2015

MH.NCHIMBI ASEMA HAJARIDHISHWA JINSI MAJINA YALIVYOKATWA KAMATI KUU

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOYsm_image

Mda mfupi baada ya kikao cha kamati kuu cha CCM kilichokaa leo mjini dodoma kupitisha majina ya wagombea wa tano bora ,MH.NCNHIMBI ambae pia ni mjumbe wa kamati kuu amesema kwamba hajaridhishwa jinsi majina yalivyokatwa bila hata kuwafikia wao.


Hata hivyo tulimuomba japo atuambie majina matatu yaliyopita alikataa akasema hawezi kutaja  badala yake tumsuburie NAPE NNAUYE atangaze majina hayo hapo baadae.

Kiukweli hali ya hapa bamdo si shwari hata kidogo kwani,kila mtu yupo juu juu kusubiria hapo baadae mida ya saa 4 asubuhi ni nani kapita na ni nani kakatwa.

TAFADHALI ENDELEA KUTEMBELEA MASWAYETU BLOG KWA HABARI ZAIDI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger