
Majina matano ya waliopitishwa kwenye tano bora ya Wagombea
CCM tayari imethibitishwa, niko ndani ya Dodoma kuhakikisha kwamba maswayetu blog inakupa updates zote zinazoendelea leo July 11 2015 moja kwa moja.
Ninazo picha tayari kutoka Makao Makuu ya CCM katikati ya Jiji la Dodoma, hiki ndio kinachoendelea kwa sasa.




Naibu Waziri January Makamba. Jina lake lipo pia kwenye walle watano waliopitishwa.

January Makamba akisalimiana na Waziri Steven Wasira na George Mkuchika.

Huyu jamaa alionekana Arusha pia kwenye Mkutano wa Lowassa akiwa amejiandika hivihivi, leo yuko Dodoma pia nje ya Makao Makuu ya CCM.
0 comments:
Post a Comment