Saturday 25 July 2015

MPYA:WEMA SEPETU AKATWA KAMA LOWASSA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.

Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)

Baada ya matokeo hayo, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;

Kuna matokeo ya aina 3
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo.

Mpaka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezekana Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger