Saturday 25 July 2015

WABUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA SHINYANGA KUPITIA CCM

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

Mheshimiwa Lucy Mayenga
Wanachama wa Umoja wa Wanawake CCM(UWT) mkoa wa Shinyanga waliojitokeza kugombea nafasi za ubunge  viti maalum kati ya kumi waliojitokeza kuwania nafasi hiyo,Mheshimiwa Lucy Mayenga ameibuka mshindi wa kwanza kwa kupata kura  353 akifuatiwa na mheshimiwa Aza Hilal aliyepata kura 342 kati ya kura 440 zilizopigwa.



Katika uchaguzi huo mgombea kupitia kundi la Wafanyakazi aliyejitokeza ni mmoja pekee ambaye ni Dkt Flora Masakilija,kundi la watu wenye ulemavu pia alijitokeza mmoja Rehema Joshua ambao wote walipata kura za ndiyo 331
Mheshimiwa Aza Hilal
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger