Friday 10 July 2015

Kumekucha CCM Dodoma!! HAWA NDIYO WATANO BORA WALIONG'AA ZAIDI KATI YA 38 !! LOWASSAAAAA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma kimepitisha majina matano ya watia nia ya Urais nchini Tanzania kupitia CCM.

1.Edward Lowassa
2.Asha Rose Migiro
3.Gharib Bilal
4.Bernard Membe
5-John Magufuli
Taarifa kamili tutawaletea hivi punde.....
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger