Monday 13 July 2015

UPDATES:MAJINA YA UHAMISHO TAMISEMI JULY 2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tokeo la picha la NGAO YA TANZANIOA

Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina
4655 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini July 2015. Aidha orodha ya watumishi 115
ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.

Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.



Endapo utataka kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;

1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834 mfano JOHN
   PAUL (UHAMISHO-TAMISEMI)

2.Huduma hii utatozwa tshs 1000 tu ambayo utailipia kwa
   mpesa  kwenda namba 0768260834 au tigo pesa 0652740927

3.TUMA KWANZA PESA NDIO UJIBIWE.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger