
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Colombia aliyetua Chelsea, Radamel Falcao.MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Colombia, Radamel Falcao ametua rasmi katika Klabu ya Chelsea kwa mkopo wa ada ya pauni milioni 6. Falcao ametua Chelsea akitokea Monaco na atakuwa akiweka kibindoni mshahara wa pauni 285,000 kwa wiki. Msimu uliopita Falcao alikuwa akikipiga katika Klabu ya Manchester United.

0 comments:
Post a Comment