Thursday 2 July 2015

Entertainment Kama uliushtukia ukimya wa MB Dog, yuko hapa

...
.
.
Mkali wa ‘Latifa’, Si uliniambia’ Mbwana Mohamed aka MB Dog time hii amefunguka na kuelezea sababu zilizopelekea kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva
Akizungumza na millardayo.com July 2,2015 alisema…’Kwanza nilikuwa nimetoa kwenye kampuni ambayo ilikuwa ikinisaidia halafu then nikawa mwenyewe so baada ya kuona mambo yamekuwa mazito nikatoa kidogo nikaenda kukaa sana Ujerumani kama miaka miwili nikaja nikarudi Uingereza hapo katikati zile safari baada ya kuona mambo yamekuwa mazito ndio sababu ya kukuwa kimya.
.
.
Sijawahi kupiga ngoma ikawa imeenda tofauti kila niliyowahi kuupiga ulikuwa unaenda na damu zao halafu ilikuwa zinafanana na wao kwa hiyo ngoma zangu zote zilikuwa na manufaa na zilikuwa na faida kwasbabu ndio zimenifanya mpaka leo nipo nakutana na watu tofauti wananiamia na heshima kubwa kupitia hizo ngoma
.
.
Mimi niko chini ya Qs Mhonda J Entertainment kampuni kubwa sana ambayo kwasasa ndio inasimamia kazi zangu kiufupi niwahabarishe mashabiki wangu kuna kazi ambazo zinashaanza kufanyika kama kuna video nimefanya Afrika Kusini chini ya Qs Mhonda J Entrtainment, muziki wa sasa hivi umetanuka kuna social Network ukiangalia zamani kulikuwa hakuna social network sisi zamani ma Dj walikuwa wanakuja ma studio kuangalia ngoma zetu..’alisema.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger