Na mwandishi wetu Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Radio Kwizera wilaya ya Ngara mkoani Kagera Maria Philbert akiwa kituo cha Mwanza amezikwa leo katika makaburi ya Nyashana mabatini jijini Mwanza huku waombolezaji wakizimia kutokana na majonzi baada ya kuugua kwa muda mfupi na kufariki dunia. Waombolezaji na baadhi ya wafanyakazi wa Radio Kwizera kutoka wilayani Ngara mkoani Kagera na wanahabari wa mkoa wa mwanza na maeneo jirani walifurika kuanzia nyumbani kwao Mabatini wakishiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Maria Philberti (34) aliyefariki Februari 16, 2019 Afisa mahusiano wa Radio…
0 comments:
Post a Comment