Na mwandishi wetu Segerea Zaidi ya shilingi bilioni tatu hadi sasa zimekwishatumika katika shughuli ya ujenzi na ukarabati wa miradi mbali mbali ya maendeleo inayoendelea katika jimbo la Segerea ndani ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam na kuwataka wananchi wa jimbo hilo kuwa wazalendo na kuitunza miradi hiyo ili ikawe alama kwa kizazi kijacho. Hayo yamesemwa na mbunge wa jimbo hilo Mhe.Bonnah Ladslaus Kamoli wakati akizungumza na na vyombo vya habari baada ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya baadhi ya miradi jimboni hapo. Mbunge huyo ametembelea shule…
0 comments:
Post a Comment