Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi Mhe. Selemani Jaffo alipokuwa akikagua barabara ya Nyamazobe inayounganisha Mtaa wa Nyamazobe pamoja na Mtaa wa Mlimani wilayani Nyamagana. Mhe. Jaffo akiongea na wananchi wa Nyamazobe, ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ulioanza octoba 2018 na kutarajia kukamilika Machi 2019. Amempongeza Mbunge Jimbo la Nyamagana kwa ufuatiliaji wa miradi ya Maendeleo pamoja na ushirikino wake na wananchi kuanza ujenzi barabara hiyo kwa mita 200 iliyopelekea Mhe. John Pombe Joseph Magufuli Rais…
0 comments:
Post a Comment