Sunday, 24 February 2019

MBALONI KWA KUMCHOMA MOTO MTOTO SABABU YA UDOKOZI

...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Eliza Denis (23) mkazi wa Makulu mkoani hapo kwa tuhuma za kumpiga sehemu mbalimbali za mwili na kumchoma moto mikononi mtoto wake wa kambo, Jackson Denis (5) kwa madai ya kudokoa chakula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku jeshi la polisi likimshikilia mama huyo. “Huko maeneo ya Dodoma Makulu amekamatwa mama mmoja ajulikanae kwa jina la Eliza Denis ambaye ni mkulima na mkazi wa Dodoma Makuli kwa makosa ya kumpiga sehemu mbalimbali za mwili na…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger