Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick L. Mpogolo amewataka viongozi wa Mkoa wa Dodoma na wana CCM kwa ujumla kushiriki katika vikao vya mashina na kuimarisha mashina wanayotokana nao ili kukiongezea mtaji Chama cha Mapinduzi. Ndg Mpogolo ameyasema hayo leo Wilaya ya Dodoma Mjini wakati wa maadhimisho ya sherehe za kuzaliwa CCM kwa kuagiza Viongozi wote bila kujali nafasi zao kushiriki katika vikao vya mashina na kuwatambua mabalozi wao na kuwapa ushirikiano unaostahili kwa ustawi wa Chama. Akiwa katika ziara katika kiwanda cha Mvinyo cha CETAWICO ,Ndg Mpogolo…
0 comments:
Post a Comment