Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewashukia waajiri wote wanaotoa taarifa ambazo si sahihi za mishahara ya wafanyakazi kwa lengo la kukwepa kodi na pia kuchangia mchango mdogo katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii tofauti na mshahara wake. Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mh Anthony Mavunde wakati akiongea na waandishi wa habari katika Jiji la Mbeya na kubainisha kwamba Ofisi ya Kamishna wa Kazi inaendelea na ukaguzi wa kawaida ili kuwabaini waajiri hao na kuwachukulia hatua za…
0 comments:
Post a Comment