Na Shabani Rapwi. Uongozi wa klabu ya Azam FC jana Jumamosi, February 23, 2019 ulimetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo Hans Van Der Pluijm baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Azam FC imefikia makubaliano ya kuachana na Hans pamoja na Msaidizi wake, Juma Mwambusi kutokana na kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL). Katika mechi 5 za mwisho chini ya kocha Hans wamefungwa mechi 2 (Tanzania Prison 1-0 na Simba 3-1 ) na kutoa sare mechi 3…
0 comments:
Post a Comment