Maswayetu blog inatafuta vijana 10 ambao watafanya kazi na blog hii kwa kupost habari mbalimbali kila zinapotokea na kushare sehemu mbalimbali.
sifa za mwombaji;
uwe na computer/laptop,highyl modified smartphone
internet acces ,
uwe mjanja(mwepesi kuelewa)
idadi:wavulana (3)
wasichana(7)
Jinsi ya kuomba:
Tuma CV yako kwenda email ifuatayo>>>
saetk20@gmail.com
NOTE:watu wachache watakaokidhi vigezo ndio watakaojulishwa,ukiona kimya jua haujafanikiwa.
DEADLINE:FEB 1 2017
IMETOLEWA NA UONGOZI WA MASWAYETU BLOG
0 comments:
Post a Comment