Tutakuwa Tunaweka Wimbo Wa Bongo Flaver, Rnb, Hip Hop Wa Muda Kidogo
Wiki iliopita Tuliweka Ngoma ya RayVan[Raymond] - FURAHA
LEO Tuko na Hitmaker Wa "MUZIKI" Darassa Alishawahi Fanya Kazi Na Lameck Ditto
Kazi Inaitwa " Weka Ngoma" Imetayarishwa Na Tuddy Tomas
Isikilize Hapo Chini.
DOWNLOAD
0 comments:
Post a Comment