Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine
kilichopo mjini morogoro ambao wanaendelea na mitihani yao ya mwisho wa muhula
wa pili(2ND SEMI ESTER)
Wamekutwa na kamera yetu ilikuwa ikipita maeneo mbalimbali chuoni hapo
kwa ajili ya kuangalia hali ya wanafunzi hao wawapo kwenye mitihani yao hiyo ya
mwisho.
Hawa ni wanafunzi wa kozi ya engineering iliyopo
chuoni hapo wakiwa
katika discussion ya kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
( picha na innocent the-blogger)
katika discussion ya kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
( picha na innocent the-blogger)
( Hili ni moja ya swali ambalo walikuwa wakilisolve kwa ajili ya
maandalizi hayo picha na innocent the-blogger)
0 comments:
Post a Comment