Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Dr Wilbrod
Slaa akionyesha kabrasha lenye mambombalimbali ya mikaba kuhusiana na
kampuni ya IPTL na Excro Pamoja na taarifa maalum kuhusu mwenendo wa
bunge maalum la katiba pia katibu mkuu ameongelea kuhusu mkutano mkuu
utakaofanyika hivi karibuni Dr Wilbrod Slaa amesema wajumbe 30
waliochaguliwa wa bunge la katiba watakaoshiriki katika kikao cha
mashauriano kitaifa kitachofanyika julai 24 na 25 mwaka huu katika ofisi
ndogo za bunge jijini Dr es salaam ambao wabunge wa ukawa
hawatahudhuria kikao hicho akiongea leo kwenye makao makuu ya chama
hicho kuhusu ukawa kurudi bungeni katibu mkuu huyo amesema wabunge
wametoka bungeni kwa maana maluum wanataka makubaliano kufuata rasimu
iliyosomwa bungeni kuhusu wananchi wanataka katiba ya namna gani na sio
katiba ya watu fulani hususani serikali mbili msimamo upo palepale wa
serikali tatu
0 comments:
Post a Comment