Habari zenu Kwa mara nyingine tena;
Napenda kutoa elimu ndogo san na muhimu kuijua kwani nahisi kati ya waliokuwa kumi bora kujua hiki kitu wakati nilipokuwa nafanya application ya TCU miaka michache iliyopita.
Ukimaliza kuchagua kozi zako kwa kujaza CODE za vyuo Tafadhalai ili ujue na utambue kuwa hiyo kozi umekidhi vigezo click maramoja kwenye checking in progress then subiri itakujibu NO or YES.
Kama ukitaka kujua hiyo kozi inahitaji watu wangapi,walioomba ni wangapi , wewe ni mtu wangapi kuomba,na wenye sifa ni wangapi peleka cursor yako kwenye CODE YA CHUO USIBONYEZE CHOCHOTE,ipeleke uiache hapo kama sekunde 4-5 itakuonyesha waliomba ni wangapi hadi mda huu na wenye sifa ni wangapi na wewe ni mtu wa ngapi kuomba.
Mfano:mimi wakati naapply nilomba kozi ya MEDICINE SUA nikakuta walioomba ni 20 na wanaotakiwa ni 70 wenye sifa ni 13 mimi nikawa wa 21 kuomba na nikawa mtu wa 14 kwa wenye sifa za kusoma kozi hiyo.
Wako INNOCENT-THE BLOGGER BOY! kama unaushauri au unataka kuuliza kitu contact me through 0768260834 any time.
0 comments:
Post a Comment