Brazil imeondolewa katika michuano hiyo hatua ya nusu fainali na italazimika kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na timu itakayopoteza mechi ya leo kati ya Uholanzi na Argentina.
Mabao ya Ujerumani ambao wamelichukua kombe hilo mara tatu yamewekwa kimiani na: Muller, 11, Klose, 23, Kroos, 24, 26, Khedira, 29, Schurrle, 69, 79 huku bao la kufutia machozi la Brazil likifungwa na Oscar, 90.
Kwa matokeo ya leo, Ujerumani wanasubiri kucheza fainali na mshindi wa mchezo wa baadaye kati ya Uholanzi na Argentina
0 comments:
Post a Comment