RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA
Katika kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na
Rais Hapo Mwakani (2015). Inaonesha vijana wamedhamiria kufanya mapinduzi na kuvunja
ukimya katika kunyakua nyadhifa muhimu katika vyama vya Siasa ikiwa ni tofauti
na hapo awali kwamba ilizoeleka ni wazee peke yao tena wale wastaafu kutoka
serikalini ndio walikuwa wanategemewa kugombea nyadhifa hizo.
Hiyo imedhibitishwa hivi leo
baada ya Kijana Shupavu RAJABU KAYAAGWA kupitia Chama Cha CCM kutangaza nia ya
Kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kasuru Vijijini
Katika Mkoa wa Kigoma.
Amebainisha niayake hiyo Kupitia Accounti yake ya Facebook Hivi leo na Kuandika Maneno Haya:
"MIMI MWL. RAJABU KAYAGWA(35) WA LUSESA KASULU NATANGAZA
RASMI KUGOMBEA JIMBO LA KASULU VJIJINI (CCM),VIJANA WENZANGU,WAZEE,WAMAMA NA
WANAONIPENDA NAOMBA DUA ZENU, NA KUNIUNGA MKONO. PIA WANAONICHUKIA NAKARIBISHA
CHANGAMOTO ZENU. CCM OYEEE."
0 comments:
Post a Comment