Kamada wa Polisi mkoani PWANI URLICH MATEI amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amewataja watu walipoteza maisha katika ajali hiyo kuwa ni CHARLES NYELI ambaye ni Utingo wa gari moja kati ya matatu yaliyohusika katika ajali hiyo, pamoja na askari wa kikosi cha usalama barabarani WP.KHADIJA JUMANNE.
Tuesday, 8 July 2014
WATU WAWILI WAMEKUFA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA MKOANI PWANI LEO HII
Kamada wa Polisi mkoani PWANI URLICH MATEI amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amewataja watu walipoteza maisha katika ajali hiyo kuwa ni CHARLES NYELI ambaye ni Utingo wa gari moja kati ya matatu yaliyohusika katika ajali hiyo, pamoja na askari wa kikosi cha usalama barabarani WP.KHADIJA JUMANNE.
0 comments:
Post a Comment