vikuku
ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama kuvaa
cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini
puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi??
kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi nafikiri ni
fikra za watu tena fikra potofu,
tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.
Lakini mtaani wanasema ni biashara ukivalia kulia straight ila hautoi tigo , kushoto tigo posibility and miguu yote anything goes
0 comments:
Post a Comment