Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF,
Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi.
Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa
mazishi.
Waheshimiwa
wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa
marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege
tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi. Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe. Prof. Ibrahim Lipumba akijadili jambo na mwenzie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma kwenye maziko.
0 comments:
Post a Comment