Friday 27 June 2014

TUHUMA ZA WIZI :MTU NA MKE WAKE WAVULISHWA NGUO

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Wenza hawa wa wili inasemekana ni wezi wazuri sana wanao fanya kazi yao kwa ushirikiano mkubwa, wamekatwa baada ya kutaka kujaribu kumuibia mzungu aliyekuwa akikatiza kwenye anga zao, na kabla ya kushushiwa kipogo kikali walivuliwa nguo zote na kutembezwa uchi mtaani na baadae kufikishwa kituo kimoja cha polisi kilicho karibu.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger