Kwa taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba ‘wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) wanajiandaa kuandamana kushinikiza kupewa hela zao za mafunzo kwa vitendo’ mtoa taarifa amesema chuo ilishapokea pesa hizo tangu wiki mbili zilizopita lakini mpaka sasa bado wanafunzi hawapewa KUSAINI pesa hizo. Na ukisoma
magazeti ya leo tar 27th June 2014, moja ya gazeti limeandika “UDOM inarudisha pesa za mafunzo kwa vitendo Bodi ya mikopo(HSLB), gazeti limemunukuu mmoja wa viogozi wakuu wa UDOM, Kwa maana hiyo kuwa ni kweli pesa ipo lakini WATAWALA hawataki kuitoa, Mimi na wewe hatujui ila lazima tujiulize maswali kazaaa
0 comments:
Post a Comment