Wednesday, 20 February 2019

WANANCHI NJOMBE WAJITOKEZA KUJENGA HOSPITAL MPYA YA WILAYA

...
Na Amiri kilagalila Baada ya serikali kutoa fedha shilingi bilioni moja na milioni mia tano kwaajili ya ujenzi wa hospitali ya halmashairi ya wilaya ya Njombe wananchi kata ya Matembwe kunakojengwa hospitali hiyo wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maendeleo ya uchimbaji wa misingi ya majengo Ili kuunga mkono mpango wa serikali wa kusogeza huduma za afya karibu na wananchi. Joseph Ng’umbi na Leokadia Ngala ni miongoni mwa wananchi waliojitokeza katika eneo lililoandaliwa kwaajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya njombe kata ya matembwe wilaya ya Njombe ambapo wananchi wa…

Source

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger