Na Amiri kilagalila Halmashauri ya mji wa Mafinga mkoani iringa inataraji kuanza ujenzi wa mabweni katika shule zote za sekondari ili kukabiliana na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu sambamba na kuwa kinga wanafunzi dhidi ya ujauzito kazi ambayo inategemewa kufanyika kwa ushirikiano na ubalozi wa japani. Hayo yamebainishwa na mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi wakati akizungumza na wadau wa elimu kwenye mkutano wa tathmini ya elimu kwa shule msingi na sekondari ambapo amesema kuwa ili halmashauri hiyo ifanye vizuri katika elimu ni lazima shule…
0 comments:
Post a Comment