WIMBO HUU NI DEDICATION KWA VIJANA WOTE WALIOPITIA,BULOMBORA,MSANGE,KANEMBWA,RWAMKOMA,RUVU,KABUKU
Wimbo unahusu maisha yote baada ya matokeo ya form six kutoka jamaa akapata division II ,akawa anajiandaa kwenda chuo kikuu,dah,jamaa anasema kilichomshangaza ni kwamba kuna taarifa zikatoka ngazi juu wote waliomaliza form six mwaka huu wapitie kwanza jeshi ,chuo wataenda tu.
Jamaa anaendelea kuwa siku zikasogea majina yakatangazwa amepangwa songea,mdogo mdogo jeshini akasogea akakutana na wajomba jeshi limeshakolea,alichoshangaa kikubwa salam sio mambo tena kule ni jambo afande...ENDELEA KWA KUUUSIKILIZA NA KUUDOWNLOAD HAPA HAPA MASWAYETU... CLICK HAPA KUDOWNLOAD
0 comments:
Post a Comment