Chanzo cha habari hii kinasema kuwa mwanadada huyo alikuwa na miadi ya kukutana na mwanaume ambaye inasemekana pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana usiku kwenye gesti moja mashuhuri sana iliyopo Sinza, Dar es Salaam. Mwanadada huyo alimsubiri mtu wake mpaka saa 6 usiku, lakini hakutokea kabisa!! Baada ya kugundua kuwa
AMECHOMESHWA MAHINDI mpaka muda huo, alipatwa na msongo wa mawazo na hivyo akaamua kununua vidonge vingi sana kwenye duka la madawa na kuvimeza ili afe na kuondokana na matatizo ya dunia hii!! Kutokana na maelezo ya rafiki yake wa karibu sana, Rehema Mwakipesile, mwanadada huyo amekuwa akilalamika sana kuwa hapendwi na wanaume kabisa na ikitokea amempata mmoja wa bahati, huwa anamkimbia punde baada ya kugongana naye ama hata kabla ya hilo.
Mwakipesile aliongezea kuwa, huyo mwanaume wa jana alikuwa ni wa 28 tangu alipoanza kusoma pale UDSM mwaka juzi, na ni mwanaume pekee kati ya hao aliyefikia hatua ya kupanga miadi ya kukutana naye gesti!!
Kutokana na mwanadada huyo kuwa na nyege nyingi sana, aliwahi mapema ya saa 12 jioni na kulipia chumba mwenyewe.
Cha kushangaza, mpaka saa 6 za usiku, mtu wake alikuwa hajawasili na simu yake ilikuwa haipatikani!! Mwakipesile aliendelea kumwamwambia Mzee wa Makopaz kuwa Tina alikuwa amechoka kitendo hicho cha wanaume kumbabaisha ingawa ni mrembo sana, na hivyo alikuwa akizungumzia masuala ya kujiua tangu siku nyingi sana kwani aliona maisha bila kupendwa na wanaume ni sawa na kifo tuu.
Hata hivyo, mwanadada Tina aliwaishwa hosipitalini na hivyo matabibu wakajitahidi kadri ya uwezo wao kuyaokoa maisha yake, na kwa sasa anaendelea vizuri
0 comments:
Post a Comment