Heshima:
Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii
yake kwenye ukumbi wa Victoria Hall mjini Bolton.
GWIJI
wa Manchester United, amezawadia shahada ya heshima ya Udaktari na chuo
kikuu cha Bolton kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa katika mchezo
soka.
Giggs
aliyestaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu uliopita amepokea udaktari
wa sayansi kwa mchango wake mkubwa katika michezo kwenye mahafali ya
chuo iliyofanyika ukumbi wa Victoria Hall mjini Bolton CHANZO BBC
0 comments:
Post a Comment