Na Dinna Maningo, Tarime. Jeshi la Polisi mkoa wa Polisi Tarime / Rorya linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kumdhalilisha Rais John Magufuli kupitia mtandao wa Whatssap na linawashikilia watuhumiwa wanne kwa kosa la mauaji. Kamanda wa Polisi mkoa wa Polisi Tarime/Rorya Henry Mwaibambe alisema kuwa januari,24, 2019 majira ya saa nne polisi walifanikiwa kumkamata Sabato Marwa kwa kosa la kutuma picha kwenye mtandao wa kijamii wa whatssap liitwalo Tarime Ishi na Mimi. “Picha hiyo ilikuwa na maandishi yaliyoandikwa MAGUFULI 2015 na alama ya dole gumba,picha hiyo ilikuwa ikimdhalalisha Rais…
0 comments:
Post a Comment