Na Dinna Maningo,Tarime Mkuu wa wilaya ya Tarime Charles Kabeho amewataka Mahakimu,Waendesha Mashtaka na Wanasheria kutenda haki katika kesi zinazofikishwa Mahakamani zikiwemo kesi za wananchi wanyonge ambao matumaini yao ni kuona Mahakama inawatendea haki. Kabeho ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria yaliyofanyika kiwilaya katika Mahakama ya wilaya ya Tarime yaliyohudhuriwa na wadau mbalimbali baadhi yao wakiwemo watumishi wa Mahakama za Tarime, Mawakili wa Serikali,Mawakiki wa kujitegemea,Waendesha mashtaka wa Polisi,Askari,Magereza,Takukuru,Asasi za Kiraia,Ofisi ya Ustawi wa Jamii Tarime na Wananchi. Kabeho alisema kuwa haki ikitendeka inaleta imani kubwa kwa…
0 comments:
Post a Comment